Ufafanuzi wa mbawaa katika Kiswahili

mbawaa

nominoPlural mbawaa

  • 1

    samaki wa baharini mwenye rangi nyekundu na anayefanana na samaki aitwaye tembo.

Matamshi

mbawaa

/mbawa:/