Ufafanuzi wa mbayuwayu katika Kiswahili

mbayuwayu

nominoPlural mbayuwayu

  • 1

    ndege mdogo mwenye rangi nyeusi na nyeupe kooni na mgongoni karibu na mkia, ana mkia mrefu kiasi, wenye panda na mbawa zilizokaa kama upinde arukapo na hujenga kiota cha manyoya na udongo.

    kijumbamshale

Asili

Kar

Matamshi

mbayuwayu

/mbajuwaju/