Ufafanuzi wa mbega katika Kiswahili

mbega

nominoPlural mbega

  • 1

    manyoya ambayo baadhi ya wacheza ngoma hujifunga mabegani.

Matamshi

mbega

/mbɛga/