nominoPlural mbele
- 1
mahali uso unapoelekea.
‘Alikaa mbele ya nyumba’
Matamshi
mbele
/mbɛlɛ/kielezi
- 1
kabla ya.
‘Kati yenu ni nani aliyekuja mbele?’awali - 2
penye hadhara.
‘Alimtukana mbele ya watu’ - 3
wakati ujao.
‘Ukweli utajulikana huko mbele’‘Maskini’
Matamshi
mbele
/mbɛlɛ/nominoPlural mbele
- 1
uchi wa binadamu; uume au uke.
uke