Ufafanuzi wa mbelegezaji katika Kiswahili

mbelegezaji

nominoPlural wabelegezaji

  • 1

    mtu anayefanya mambo bila ustadi kwa kutokuwa na ujuzi wa kuyafanya; mbabaishaji.

Matamshi

mbelegezaji

/m bɛlɛgɛzaʄi/