Ufafanuzi wa mbenuko katika Kiswahili

mbenuko

nominoPlural mibenuko

  • 1

    tao la mbele; mviringo au mkunjo unaotokeza kwa mbele.

Matamshi

mbenuko

/m bɛnukɔ/