Ufafanuzi wa mbetuko katika Kiswahili

mbetuko

nomino

  • 1

    hali ya kupiga mpira kwa haraka kabla haujadunda chini.

Matamshi

mbetuko

/m bɛtukɔ/