Ufafanuzi wa mbigili katika Kiswahili

mbigili

nominoPlural mibigili

  • 1

    mmea unaotambaa wenye mbegu za miba k.v. nyota, utomvu wake ukichanganywa na kiini cha yai hufanywa dawa ya kutapisha.

    mbiliwili

Matamshi

mbigili

/m bigili/