Ufafanuzi wa mbilikimo katika Kiswahili

mbilikimo

nomino

  • 1

    mtu mfupi sana.

    kibete, kidunavi, kibushuti, kikwekwe, kidurango, kibirikizi, kisheta, kijimo

Asili

Kar

Matamshi

mbilikimo

/mbilikimÉ”/