Ufafanuzi wa mbinguni katika Kiswahili

mbinguni

nomino

  • 1

    mahali panapodhaniwa kuwa makao makuu ya Mungu na ambao watu wema kutoka duniani huishi huko milele.

Matamshi

mbinguni

/mbinguni/