Ufafanuzi wa mbingusi katika Kiswahili

mbingusi

nominoPlural mbingusi

  • 1

    samaki aina ya chewa mwenye mdomo mpana na macho makubwa.

Matamshi

mbingusi

/mbingusi/