Ufafanuzi wa mbinja katika Kiswahili

mbinja

nominoPlural mbinja

  • 1

    sauti ya pumzi itolewayo kutoka kwenye midomo iliyobanwa na kuachwa mwanya au tundu dogo.

    mluzi, uwinja

Matamshi

mbinja

/mbinʄa/