Ufafanuzi wa mbinu katika Kiswahili

mbinu

nominoPlural mbinu

  • 1

    njia zenye hila na ujanja za kufanyia jambo.

    mizungu, kipengee, mzungu

  • 2

    njia ya kutekelezea jambo.

Matamshi

mbinu

/mbinu/