Ufafanuzi wa mbinurejeshi katika Kiswahili

mbinurejeshi

nominoPlural mbinurejeshi

Fasihi
  • 1

    Fasihi
    mbinu ya uandishi hasa wa kazi za kubuni ambapo kazi huanzia mwisho kurudi mwanzo.

Matamshi

mbinurejeshi

/mbinurɛʄɛ∫i/