Ufafanuzi wa mbirambi katika Kiswahili

mbirambi

nominoPlural mbirambi

  • 1

    tamko la kuonyesha masikitiko kwa maafa yaliyomfika mtu k.v. kufiwa au gharika.

Matamshi

mbirambi

/mbirambi/