Ufafanuzi wa mbishi katika Kiswahili

mbishi

nominoPlural wabishi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kupinga au kutoafiki analoambiwa.

    mpingani, mkaidi

Matamshi

mbishi

/m bi∫i/