Ufafanuzi msingi wa mbisho katika Kiswahili

: mbisho1mbisho2

mbisho1 , bisho

nominoPlural mibisho

  • 1

    tendo la kugonga k.v. mlango ili ufunguliwe.

  • 2

Matamshi

mbisho

/m bi∫ɔ/

Ufafanuzi msingi wa mbisho katika Kiswahili

: mbisho1mbisho2

mbisho2

nominoPlural mibisho

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    tendo la kubadili uelekeo wa chombo cha bahari.

Matamshi

mbisho

/m bi∫ɔ/