Ufafanuzi wa mbochi katika Kiswahili

mbochi

nominoPlural mbochi

  • 1

    majimaji matamu yanayotengenezwa na maua na kukusanywa na nyuki kutengenezea asali.

    nekta

Matamshi

mbochi

/mbɔt∫i/