Ufafanuzi wa mbogamboga katika Kiswahili

mbogamboga

nominoPlural mbogamboga

  • 1

    viungo mbalimbali k.v nyanya, biringanya, n.k vinavyopikwa pamoja.

Matamshi

mbogamboga

/mbɔgambɔga/