Ufafanuzi wa mbona katika Kiswahili

mbona

kielezi

  • 1

    ‘Mbona tena?’

  • 2

    kwa nini.

    ‘Mbona hukuja?’

Matamshi

mbona

/mbɔna/