Ufafanuzi wa mbona! katika Kiswahili

mbona!

kiingizi

  • 1

    neno lenye kudokeza mshangao.

    ‘Ulisema mto hauvukiki, mbona tuliuvuka!’

Matamshi

mbona!

/mbɔna/