Ufafanuzi wa mbuga katika Kiswahili

mbuga

nominoPlural mbuga

  • 1

    ardhi yenye nyasi isiyokuwa na miti mikubwa mingi.

    nyika, kiwara

Matamshi

mbuga

/mbuga/