Ufafanuzi wa mbuge katika Kiswahili

mbuge

kivumishi

  • 1

    mwenye tabia ya kula au kutafunatafuna vitu vidogovidogo huku amejificha; asiyekuwa na utaratibu maalumu wa kula.

Matamshi

mbuge

/m bugɛ/