Ufafanuzi wa mbukuzi katika Kiswahili

mbukuzi

nominoPlural wabukuzi

  • 1

    mtu anayetafuta na kuzifichua siri za watu; mtoaji siri za watu.

  • 2

    mtu anayesoma sana.

Matamshi

mbukuzi

/m bukuzi/