Ufafanuzi wa mbumbumbu katika Kiswahili

mbumbumbu

nomino

  • 1

    asiyefahamu chochote.

    mpumbavu

Matamshi

mbumbumbu

/mbumbumbu/