Ufafanuzi wa mbung’o katika Kiswahili

mbung’o

nominoPlural mbung’o

  • 1

    mdudu kama nzi mkubwa ambaye huuma binadamu au mnyama na kuambukiza ugonjwa wa malale.

    ndorobo, chafuo, pange

Matamshi

mbung’o

/mbuŋɔ/