Ufafanuzi wa mburuga katika Kiswahili

mburuga

nomino

  • 1

    upigaji ramli ili kutafuta jambo au tendo lililofichika.

    bao

Matamshi

mburuga

/mburuga/