Ufafanuzi wa mbuta katika Kiswahili

mbuta

nominoPlural mbuta

  • 1

    zawadi ya kuonyesha shukurani.

  • 2

    vitu au kitu unachompa mtu akufanyie msaada.

  • 3

    sehemu ya mahari.

Matamshi

mbuta

/mbuta/