Ufafanuzi wa mbute katika Kiswahili

mbute

nominoPlural mbute

  • 1

    viazi vitamu vilivyochemshwa kidogo kisha vikaanikwa juani.

Matamshi

mbute

/mbutɛ/