Ufafanuzi wa mbwago katika Kiswahili

mbwago

nominoPlural mibwago

  • 1

    tendo la kuangusha kitu chini.

    mwangusho

Matamshi

mbwago

/m bwagɔ/