Ufafanuzi wa mchakamchaka katika Kiswahili

mchakamchaka

nomino

  • 1

    mbio za taratibu za kuchangamsha maungo zinazoandamana na nyimbo za kutiana hamasa.

Matamshi

mchakamchaka

/mt∫akamt∫aka/