Ufafanuzi wa mchakuro katika Kiswahili

mchakuro

nomino

  • 1

    tendo la kupekuapekua vitu vya juu ili kupata vya chini.

Matamshi

mchakuro

/mt∫akurɔ/