Ufafanuzi wa mchama katika Kiswahili

mchama

nominoPlural wachama

  • 1

    mtu anayeondoka au kuachana na jambo.

Matamshi

mchama

/mt∫ama/