Ufafanuzi wa mchana katika Kiswahili

mchana

nomino

  • 1

    kipindi baina ya mawio na machweo.

  • 2

    kipindi kati ya adhuhuri na alasiri.

    ‘Chakula cha mchana’

Matamshi

mchana

/mtāˆ«ana/