Ufafanuzi wa mchanganuo katika Kiswahili

mchanganuo

nominoPlural michanganuo

  • 1

    utengaji wa sehemu za kitu kizima kilichotengenezwa kutokana na mchanganyiko wa vitu vingi.

  • 2

    uchambuzi wa fikira, hali au maandishi ya vitu mbalimbali vilivyofanywa au kutiwa pamoja.

Matamshi

mchanganuo

/mt∫anganuwɔ/