Ufafanuzi wa mchanyato katika Kiswahili

mchanyato

nominoPlural michanyato

  • 1

    ndizi au muhogo uliokatwakatwa vipande vidogovidogo na kupikwa.

  • 2

    ufuaji wa nguo kijuujuu.

    mchachago

Matamshi

mchanyato

/mt∫aɲatɔ/