Ufafanuzi wa mchapuko katika Kiswahili

mchapuko

nominoPlural michapuko

  • 1

    tendo la kuongeza kasi ya mwendo, agh. wa gari.

Matamshi

mchapuko

/mt∫apukɔ/