Ufafanuzi wa mchawi katika Kiswahili

mchawi

nominoPlural wachawi

  • 1

    mtu anayesadikiwa kuwa anaweza kuwadhuru watu kwa kuwaroga.

    mlozi, kahini, mrogi, mnumanuma

Matamshi

mchawi

/mt∫awi/