Ufafanuzi msingi wa mche katika Kiswahili

: mche1mche2

mche1

nominoPlural miche

  • 1

    mmea unaoanza kuchipua na kutokeza juu ya ardhi.

Matamshi

mche

/mt∫ɛ/

Ufafanuzi msingi wa mche katika Kiswahili

: mche1mche2

mche2

nominoPlural miche

  • 1

    kitu chenye umbo la pande tatu.

    ‘Mche wa sabuni’
    mkuo, mkando

Matamshi

mche

/mt∫ɛ/