Ufafanuzi wa mcheche katika Kiswahili

mcheche

nominoPlural micheche

  • 1

    mwiba wa nungu ambao agh. hutumiwa kutobolea tundu wakati wa kushona kofia za Kiswahili.

Matamshi

mcheche

/mt∫ɛt∫ɛ/