Ufafanuzi wa mchecheto katika Kiswahili

mchecheto

nominoPlural michecheto

  • 1

    tukio la nywele kusimama au la kujikojolea bila kujua kutokana na hofu kuu ya ghafla.

Matamshi

mchecheto

/mt∫ɛt∫ɛtɔ/