Ufafanuzi wa mcheduara katika Kiswahili

mcheduara

nominoPlural micheduara

  • 1

    umbo refu la duara k.v. pipa.

    silinda

Matamshi

mcheduara

/mt∫ɛduwara/