Ufafanuzi wa mchegeleko katika Kiswahili

mchegeleko

nominoPlural michegeleko

  • 1

    hali ya kutokazika kwa kitu kilichofungwa k.v. mzigo wa kuni.

    msegemnege

Matamshi

mchegeleko

/mt∫ɛgɛlɛkɔ/