Ufafanuzi wa mchekecho katika Kiswahili

mchekecho

nominoPlural michekecho

  • 1

    tendo la kuengua vitu vikavu kwa mtikiso k.v. kutenga unga na chenga kwa chungio au chekeche.

Matamshi

mchekecho

/mt∫ɛkɛt∫ɔ/