Ufafanuzi wa mchele katika Kiswahili

mchele

nominoPlural michele

  • 1

    punje za mpunga uliokobolewa.

    ‘Mchele mmoja mapishi mbalimbali’
    methali ‘Mchele haukosi ndume’
    methali ‘Mchele ni mui na wapishi nao’

Matamshi

mchele

/mt∫ɛlɛ/