Ufafanuzi wa mchengo katika Kiswahili

mchengo

nominoPlural michengo

  • 1

    ukataji wa mmea k.v. mtama, ngano au ufuta wakati wa kuvuna.

Matamshi

mchengo

/mt∫ɛngɔ/