Ufafanuzi wa mchepuko katika Kiswahili

mchepuko

nominoPlural michepuko

  • 1

    tendo la kubadili mwelekeo wa kupita.

  • 2

    njia ya muda inayojitokeza pembezoni mwa barabara kuu.

Matamshi

mchepuko

/mt∫ɛpukɔ/