Ufafanuzi wa mchezaji katika Kiswahili

mchezaji

nomino

  • 1

    mtu mwenye kushiriki kucheza mchezo fulani.

Matamshi

mchezaji

/mt∫ɛzaʄi/