Ufafanuzi wa mchezeshaji katika Kiswahili

mchezeshaji

nominoPlural wachezeshaji

  • 1

    mtu anayechezesha mchezo kwa kufuata kanuni.

Matamshi

mchezeshaji

/mt∫ɛzɛ∫aʄi/