Ufafanuzi wa mchezo katika Kiswahili

mchezo

nominoPlural michezo

 • 1

  jambo lifanywalo kwa ajili ya kujifurahisha, kujichangamsha au kupitisha wakati.

  spoti, masihara

 • 2

  tendo lifanywalo na washindani wawili au timu mbili kwa ajili ya mashindano.

  ‘Mchezo wa mpira’
  ‘Mchezo wa ngumi’

 • 3

  kazi ya sanaa inayoigizwa, agh. jukwaani.

Matamshi

mchezo

/mt∫ɛzɔ/